tag:blogger.com,1999:blog-34405785.post1646923098798474018..comments2023-10-03T11:56:06.596+03:00Comments on Rwebangira Blog: Enzi za Barua hizi ulikuwa wapi hasaa?Anonymoushttp://www.blogger.com/profile/11578861525416106169noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-945302088311351242008-04-16T12:27:00.000+03:002008-04-16T12:27:00.000+03:00hapo mdau wankumbusha mbaliiiii kweli enzi izo wat...hapo mdau wankumbusha mbaliiiii kweli enzi izo watu wanatongoza kwa kimombo kwa kutumia dictionery na maneno yasiyo husiana kabisa eti uonekane darasa limepanda,<BR/><BR/>mshikaji hapo ananikumbusha ile dizaini ya unaongea na demu alafu ikipita benzi au gari yoyote bomba mzeee unakula kona afu wasingizia ati dingi yule kapita, mwakumbuka hizo au enzi hizo video ziko nyumba chache kweli mjini hapa afu wakuta mtu atembea na vieo kaseti kuchukua ujiko kwa mademu wakti kwao hakuna hata redio kaseti duh tumetoka mbali jamani..... bongo pixs wanikumbusha mbali saaana yani.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-34405785.post-42685881409487689942008-04-16T09:30:00.000+03:002008-04-16T09:30:00.000+03:00kweli tumetoka mbali sana,lkn mimi nadhani ilikuwa...kweli tumetoka mbali sana,lkn mimi nadhani ilikuwa ni ushamba flani hivi.sasa mtu anaweka mambo ya chemistry na biology kwenye barua si ajabu huyo unaemwandikia hajui hiyo chemistry.inachekesha sana te te te tehehAnonymousnoreply@blogger.com