November 15, 2007

Baunsaz wakiangalia usalama mlangoni wakati Big Brother Africa Mzaramo Richard akiongea na waandishi wa habari leo. Kuwa maarufu nako kuna mambo yake sasa hawa jamaa watakuwa naye hadi lini? na wanakuwa naye 24hrs au namna gani? kijana kaondoka na kauhuru kake karejea mfungwa wa hiyari mmhhh haya bwana.

2 comments:

Anonymous said...

UJINGA KUWEKA LEBO KWENYE PICHA
ZAKO NDO UNAJIONA MJANJAAA WENGINE TUPO MBIONI KUFUNGUA ZA KWETU TUNAPITA KILA MAHALA KUKUSANYA PICHA NA JAAMAA HAWANA NOMA IWEJE WEWE. ACHA UJINGA

Unknown said...

Nashukuru sana umeniita mjinga na si mpumbavu kama ulivyoweye,
Mungu akubaliki kwa upumbavu wako na iko siku pengine utakutoka tu weye anony...uliyetoa comments hapo juu.

Arts n' Photo sildes

"SILENT VOICES" PHOTO EXHIBITION

Future Stars!

Some of published work

RIGHT TO BE RICH

RIGHT TO BE RICH
The ownership of money and property comes as a result of doing things in a certain way, and those who do things in this certain way — whether on purpose or accidentally — get rich, while those who do not do things in this certain way — no matter how hard they work or how able they are — remain poor. WDW Do things in RIGHT way now, but how? Call: +255716927070/+255784475576

Popular Posts

LinkWithin

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...